Loading...

Follow 8020Fashions Blog | Natural Hair on Feedspot

Continue with Google
Continue with Facebook
or

Valid

Mwamvita is always on weaves,wigs anavaa the high quality ones ambazo hata ukiona kwa picha unajua this is good hair.

Na hatujazoea kumuona na nywele zake natural ,ni muda kwa sasa but now ameamua ku rock her natural hair sijui for how long this will last .

nafikiri she looks great na short hair

what do you guys think?

Read Full Article
 • Show original
 • .
 • Share
 • .
 • Favorite
 • .
 • Email
 • .
 • Add Tags 

Kheris Roggers aka kherispoppin ni binti wa miaka 10 ambaye alikua bullied na kutaniwa sana sababu ya ngozi yake kua nyeusi ,lakini ameji empower na kuamua kuifanya rangi ya ngozi yake kua brand yake.

Aliandika hair stylist wake @kherispoppin was teased about her dark beautiful complexion. She turned tears into empowerment and her dark skin into a brand. She is now the entrepreneur of her brand “Flexin In My Complexion”

So anakauli mbiu yake ya FLEXIN IN MY COMPLEXION

ana movement yake anayofanya hiyo ya kuhakikisha kila mtu no matter your complexion kila mtu ni mzuri na tunahitaji ku empower zaidi message kama hizi kwamba wewe ni mzuri tu 

tukifanya hivi wanaojichubua basi wata acha.

love this theme ya pearls 

Instagram @Kherispopping

Alicia keys showed her some love 

Read Full Article
 • Show original
 • .
 • Share
 • .
 • Favorite
 • .
 • Email
 • .
 • Add Tags 

NI NATURALISTA NA FASHIONISTA NA TWAWALETEA MITINDO MBALI MBALI AMABYO HUWA ANASTYLE NYWELE ZAKE.

HII WANAIITA UP DO KIJINJA CHABANWA KUELEKEA JUU

SIDE AND DO

VITUPIO KAMA HEAD SCARFS ZAHUSIKA PIA FRO   

LOVE THE BIG HAIR DON’T CARE 

CREDIT:SIMPLCAN

Read Full Article
 • Show original
 • .
 • Share
 • .
 • Favorite
 • .
 • Email
 • .
 • Add Tags 

Abee Natural loves natural hair na amekua akitoa elimu mbalimbali kuhusu nywele za natural jinsi ya kuzitunza ,mafuta ya kutumia ,style ideas kwa you tube channel yake.

Kwa sasa unaweza kufanya consultation ya kukutana nae pale dahliathebeautylounge

Mfollow kwa instagram yake kuona mengi zaidi @abeenaturals au ☎️+255754712421

For Valentines day anauliza how will you dress your crown???akitoa pia ana idea with her curls and a cute red bow hair accessory she is rocking.

Read Full Article
 • Show original
 • .
 • Share
 • .
 • Favorite
 • .
 • Email
 • .
 • Add Tags 

I loved the fact kwamba Miss Jamaica alikwenda Miss Universe with her Afro ,na watu wakamuelewa sana tu .With this she took natural hair on to the next level.

 “I did not win but I got what I was seeking,” she wrote on Instagramfollowing the competition, “I stand as the first Afro queen to have made it thus far.”

Message kama hii ni important to our generation and the young one wanatakiwa kuelewa kwamba their natural hair is beautiful as it is .Maana tunaishi kwenye dunia ambayo kuna watu wana ambiwa wasiende kwenye kazi au wanakosa kazi sababu wana kipilipili chao.

Kwa Tanzania watu kama Kipilipili.com , Abee natural ,Shamim Mwasha ,Missie popular wamekua mabalozi wazuri sana kwenye kuhamasisha natural hair .

Read Full Article
 • Show original
 • .
 • Share
 • .
 • Favorite
 • .
 • Email
 • .
 • Add Tags 

Leo na share na wewe jinsi ya kutengeneza nywele zako na Eco gel ,on bad hair days eco gel inaweza kukusaidia ku weka nywele zako in shape and style kwa muda mrefu.

How Eco Gel Can Save You On BAD Hair Days - YouTube

kwa mwenye swali please leave your questions kwenye comment section below.

Read Full Article
 • Show original
 • .
 • Share
 • .
 • Favorite
 • .
 • Email
 • .
 • Add Tags 

Read Full Article
 • Show original
 • .
 • Share
 • .
 • Favorite
 • .
 • Email
 • .
 • Add Tags 

Style hizi zilipendwa ila kwa wale ambao hawajali kuhusu fashion ,they are here to slay and be unique wanaweza rock hii style.

mwendo wa natural hair unachanganya na nyuzi

sijui ndo inaitwa style ya matairi maana ilivyokaa ka matairi ya baskeli

but ni very unique kwakweli

Read Full Article
 • Show original
 • .
 • Share
 • .
 • Favorite
 • .
 • Email
 • .
 • Add Tags 

Yeah leo tupo na Naturalista and fashion blogger  Cinosanda Sandele,huyu ni mu Angola anaishi Netherlands ,anaongea kireno ambacho nimesoma  pale chuo cha Diplomaisia ,najua jua kidogo havinishindi.But me napenda hair style yake ana natural hair zile laini na pia she has ana amazing style ambayo ina m suit mtu yoyote.

she is gorgeous 

when the streets are her runwaylove this look

mum jeans 

kitenge 

Read Full Article
 • Show original
 • .
 • Share
 • .
 • Favorite
 • .
 • Email
 • .
 • Add Tags 

Jacqueline Mengi huwa hastick na one hair style mara nyingi anakua kanyoa then utamkuta na wigs .But this time around naona kama amekaa sana with her natural hair and she went super blonde mwezi ulopita .

Blonde inampendeza it goes well with her skin tone ,na uzuri hana kipilipili so kama singa flani hivi ,which anazi style zinakua curls .

Gray look

I believe that if I believe then nothing that I believe is impossible.

A post shared by Jacqueline N Mengi (@j_n_mengi) on Jun 22, 2017 at 4:42am PDT

her smile though

“You are braver than you believe,stronger than you seem and smarter than you think.” One of my favorite quotes.

A post shared by Jacqueline N Mengi (@j_n_mengi) on Jul 6, 2017 at 2:14am PDT

Read Full Article

Read for later

Articles marked as Favorite are saved for later viewing.
close
 • Show original
 • .
 • Share
 • .
 • Favorite
 • .
 • Email
 • .
 • Add Tags 

Separate tags by commas
To access this feature, please upgrade your account.
Start your free month
Free Preview