Hatua 5 Muhimu za Kufanya Masoko Kipindi Cha COVID19
Zoom Tanzania
by Mustapha Mosha
4y ago
Kila biashara imeathirika na inaendelea kuathirika na janga la COVID-19. Baadhi ya nchi za Afrika Mashariki, Afrika na dunia kwa ujumla zimeweka vikwazo kwa raia wake kukaa ndani ili kuzuia uwezekano wa maambukizi kusambaa. Kwa biashara kubwa, athari za janga hili zinaweza kuchukua muda kuonekana, lakini kwa biashara ndogo, hali ni tete mwanzoni kabisa.  Watu wengi sasa wanajifungia majumbani kwa hofu ya maambukizi, hivyo kupungua au kupotea kabisa kwa wateja si jambo la kushangaa Kama wewe ni mfanyabiashara mdogo na biashara yako imeshapata athari za mwanzo za janga hili, hizi ni baadhi ..read more
Visit website
Tangazo Kuhusu COVID-19 kwa Wateja Wetu wa ZoomTanzania
Zoom Tanzania
by Mustapha Mosha
4y ago
Wapendwa Wauzaji na Wanunuzi, Tunapenda kuwashukuru kwa kuendelea kutuamini kama mtandao namba moja unaowaunganisha wauzaji na wanunuzi tangu mwaka 2009. Tunashukuru na ni lengo letu kuhakikisha tunawaridhisha zaidi ya hapa.  Kama ilivyo katika maeneo mengine duniani, timu nzima ya ZoomTanzania inatambua uwepo wa janga la COVID-19, kusambaa kwake na jinsi linavyoathiri maeneo mengi, ikiwemo biashara.  Hivyo, ili kuendelea kuwahudumia watu wengi zaidi iwezekanavyo huku tukiwa makini kuhakikisha tunajikinga na ugonjwa huu, kutakuwa na mabadiliko kidogo ambayo hata hivyo hayataathiri ut ..read more
Visit website
ZoomTanzania Kuwazawadia Madalali Kupitia Dalali Bomba
Zoom Tanzania
by Mustapha Mosha
4y ago
ZoomTanzania imeendelea kuwanufaisha Madalali wa nyumba, viwanja na magari kwa kuanzisha shindano litakalojulikana kama Dalali Bomba Awards. Sindano hilo lenye lengo la kuongeza idadi ya madalali wa nyumba, viwanja na magari mtandaoni, litafanyika kwa mwezi mmoja na litakuwa na mshindi wa kwanza, wa pili na wa tatu. Ili kushiriki, madalali waliopo katika mtandao wa ZoomTanzania wanatakiwa kutambulisha madalali wapya kwenye Mtandao huo  ambao watatakiwa kuweka matangazo ya nyumba, viwanja au magari ili ili kuwafikia zaidi ya watembeleaji 20,000 kwa siku wanaotembela mtandao wa Zoomtanzania ..read more
Visit website
Njia 6 Rahisi za Kufanya Wateja Wapende Biashara Yako
Zoom Tanzania
by Mustapha Mosha
4y ago
Ni gharama kubwa kutafuta wateja wapya kuliko kuwafanya wale ulio nao tayari wabaki kwako. Hivyo ni lazima uwathamini na uwajali wateja ulionao.  Unahitaji kuwafanya wateja wako wawe na furaha. Unahitaji kuwafanya wawe wateja wanaokuja kwako kila mara na waweze kuleta marafiki zao. Kama utakuwa na wateja wasio na furaha, wanaweza wakasambaza maneno ya sio mazuri kuhusu biashara yako kwa watu wengine.  Sasa unafanya nini kuhakikisha wana furaha na biashara yako? Jaribu njia hizi saba za kuwafanya wateja wako wapende wanachopata kutoka kwako.  1. Jifunze Kuhusu Wateja Wako Ili kufanya w ..read more
Visit website
Biashara Mpya? Hatua Rahisi za Kuuza Bidhaa 10 za Mwanzo
Zoom Tanzania
by Mustapha Mosha
4y ago
Unapoanzisha biashara mpya mtandaoni, mauzo yako ya mwanzo ni muhimu sana. Ni mauzo yatakayokufanya upate moyo, yatakayokusaidia kupata picha ya soko, na kupanga mkakati wako wa mauzo. Kwa kawaida, mauzo ya mwanzo huwa magumu zaidi kuyapata. Hizi ni njia muhimu unazoweza kuzitumia ili kufanikisha mauzo yako ya mwanzo yatakayokuwezesha kujua soko lako lilipo. 1. Anza na Marafiki Na Familia Mbinu ya kwanza ya kufanya mauzo ya bidhaa yako ya kwanza ni kuwatumia marafiki na wanafamilia wako. Hii haimaanishi umtumie Mama au kaka yako, au rafiki wako wa karibu wanunue bidhaa ambayo hawatait ..read more
Visit website
Hatua 5 za Kuwavutia Wateja Kutoka kwa Washindani Wako
Zoom Tanzania
by Mustapha Mosha
4y ago
Moja ya mafanikio makubwa katika kuboresha biashara yako ni kufanikiwa kuwavutia wateja wa mshindani wako kwenye biashara yako. Wateja wanahama. Lakini watafanya hivyo endapo tu wanaweza kuona thamani halisi ya pesa zao. Hivyo ni lazima uwape sababu nzuri ya kuchagua biashara yako na kuacha ya washindani wako. Hivyo basi, unafanya nini kushindana na kukuza kapu lako la wateja katika soko lenye ushindani mkali? 1. Tafiti Kuhusu Washindani Wako Bila kujali aina ya bidhaa unayouza — kama inatengeneza pesa, lazima iwe na washindani wako katika soko. Hivyo bila kung’ang’ania kwenye kuuza bidh ..read more
Visit website
Njia 5 Rahisi za Kupata Uaminifu Kutoka Kwa Wateja Wako
Zoom Tanzania
by Mustapha Mosha
4y ago
Fikiria umeingia katika mtandao au kurasa fulani wanayouza bidhaa mtandaoni. Hujawahi kuwasikia, lakini ukiangalia ubora wa bidhaa wanazouza unakuvutia sana.  Kama ilivyo kwa wanunuzi wengi wa mtandaoni, utataka kuangalia ‘comments’ za wanunuzi wengine waliopita ili kujihakikishia kuwa biashara hiyo kweli ipo na watu wanafikiwa. Hii ndio njia ambayo wanunuzi wengi wamekuwa wakiitumia ili kuwaamini wauzaji wa bidhaa mtandaoni. Sasa vipi kama biashara yako ni mpya? Mfano, ndio umefungua kurasa ya mtandao wa kijamii au webiste ya biashara yako. Hujawahi kuuza na hamna mtu aliyewahi kuacha ..read more
Visit website
Njia 3 Rahisi Za Kuongeza Wateja Wapya Katika Biashara Yako
Zoom Tanzania
by Mustapha Mosha
4y ago
Ikiwa wewe ni mjasiriamali mchanga au mwenye uzoefu wa kuhudumia wateja hadi 10,000 — kamwe huwezi kuchoka kutafuta wateja wapya. Kwa wafanyabiashara wengi, mchakato wa kutafuta wateja wapya unaweza kuonekana kuwa mgumu na usiotabirika.  Kama una ndoto za kukuza faida katika biashara yako inakulazimu  kuandaa mpango mkakati wa kuongeza wateja wako. Ni ngumu sana kuongeza thamani ya biashara yako kama miaka yote unahudumia idadi ile ile ya wateja. Ni lazima ufikiri namna nzuri itakayokuwezesha kupata wateja wapya na gharama za kuwafanya wafike dukani kwako.  Mchakato wa kupata wateja wap ..read more
Visit website
Hatua 3 Rahisi za Kuuza Nyumba Kwa Haraka na Kupata Faida
Zoom Tanzania
by Mustapha Mosha
4y ago
Ukifika wakati umeamua kuhamia nyumba nyingine, mkoa au nchi, au pengine unataka pesa kwa sababu binafsi, kuuza nyumba kunaweza kukuumiza kichwa sana. Hasa ikiwa una muda mdogo. Ugumu unaweza kuongezeka zaidi ikiwa unaishi mikoa kama Dar es Salaam, Arusha au Mwanza ambapo kuna nyumba nyingi zinauzwa na wanunuzi ni wachache. Mara nyingi wauzaji wa nyumba hukata tamaa hadi wanaishia kuuza nyumba zao kwa bei ya chini kuliko vile walivyotaka. Kwa bahati nzuri, kuna mambo kadhaa unayoweza kufanya kukusaidia kuuza nyumba yako haraka bila kuathiri faida utakayotegemea kuitengeneza. Hatua ya ..read more
Visit website
Pata Pesa Kwa Kuuza Vitu Usivyovitumia Nyumbani Kwako
Zoom Tanzania
by Mustapha Mosha
4y ago
Wakati mwisho wa mwaka unakaribia, unaweza kuwa na shida ya fedha za haraka, au unataka kupunguza baadhi ya vitu nyumbani. Unaweza kutengeneza pesa nzuri tu kwa kuuza vitu vingi ambavyo huvihitaji nyumbani.  Watu wengi sana wanapuuzia thamani ya vitu ambavyo hawavitumii majumbani, au kudhani ni vigumu sana kuviuza, lakini si kweli. Wewe unaweza kuona kitu fulani kina thamani ndogo sana kukiuza baada ya kukitumia. Lakini, kuna mtu anatamani sana kitu hicho hicho, kukinunua kwa bei hiyo. Na ukweli mwingine ni kwamba, watu wengi wana vitu majumbani mwao ambavyo viko katika hali nzuri lakin ..read more
Visit website

Follow Zoom Tanzania on FeedSpot

Continue with Google
Continue with Apple
OR