HAIJALISHI TUNAKOSEA MARA NGAPI? MUNGU NI MUAMINIFU KILA WAKATI
SILAGO2.BLOG
by
4y ago
Nakusalimu kupitia Jina kuu lipitalo majina yote, Jina la Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wetu. Mungu wetu ni muaminifu, hajawahi kusema uongo (uongo siyo tabia ya Mungu, ni tabia ya ibilisi-shetani kwani yeye ni muongo tangu awali na ni baba wa huo), kamwe hatengui agano lake na siku zote huitazama ahadi yake ili akaitimize. Kila agano na ahadi iliyopo ndani ya neno la Mungu kupitia Biblia takatifu, ni lazima litatimizwa kwa wakati unaofaa. Wakorintho 10:13 Hakuna jaribu lo lote lililowapata ambalo si la kawaida kwa wanadamu. Na Mungu ni mwaminifu; hataruhusu mjaribiwe kupita uwezo wenu. Lak ..read more
Visit website
SALAMU ZA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2020
SILAGO2.BLOG
by
4y ago
Salamu! Krismasi ni nini na inapaswa kusherehekewa kwa namna gani? Kumekuwa na mafundisho mengi sana kutoka kwa wapinga dini (atheists) na wenye dini tofauti na Ukristo kuhusu siku ya Krismasi. Mafundisho yao mengi yamekuwa ni kinyume na sherehe hii. Baadhi wamekuwa wakidai hakuna sehemu katika Biblia inayoturuhusu Wakristo kusherehekea Krismasi kama tunavyofanya. Na baadhi ya mafundisho yamediriki hata kusema hakuna mitume (watangulizi wetu wa Kanisa) waliowai kusherehekea sherehe hii. Maswali tunayopaswa kujiuliza kabla hatujakubali kuyumbishwa na mafundisho haya ni:- Kwanini malaika ..read more
Visit website
UTATU MTAKATIFU WA MUNGU (MUNGU BABA, MUNGU MWANA NA ROHO MTAKATIFU)
SILAGO2.BLOG
by
5y ago
UTANGULIZI ..read more
Visit website
SADAKA YA USHAWISHI
SILAGO2.BLOG
by
5y ago
Sadaka ni nini?Sadaka igusayo moyo hutolewa katika upendo (Picha:clipart-library.com) Sadaka ni toleo la thamani (kwako unayetoa mfano wa fedha, mnyama au mali ya aina nyingine) kwa Mungu kwa makusudi ya kupata baraka, kibali, toba au kutii agizo la Mungu (Mwanzo 22:2, 1 Wafalme 17:13-16 na Mambo ya Walawi 4). Sadaka inagawanyika katika makundi mawili makubwa; 1. Sadaka ya kumwaga damu, sadaka hii ilianzishwa na kumalizwa na Mungu mwenyewe. Baada ya Adam na Eva kumkosea Mungu kwa kula tunda la mti wa katikati, Mungu aliwavika vazi la ngozi ya mnyama, hii maana yake Mungu alimwaga damu ya mnyam ..read more
Visit website
WHO IS JESUS CHRIST?
SILAGO2.BLOG
by
5y ago
  Who is Jesus Christ? Jesus Christ is God who wore man’s flesh purposely to die on the cross for compensating humans’ sins with His sufferings. What a great love.  Story: One day the son did a grave mistake worth no forgiveness from his father, the son was terribly terrified thinking of running away, but he choose to stay anyways. His father returned home that evening and found the house is very calm, alarmed that something is not rights somewhere. It took no time for the father to realize what his son has done and he is terribly sorry. The father called his son and asked the son to beat h ..read more
Visit website

Follow SILAGO2.BLOG on FeedSpot

Continue with Google
Continue with Apple
OR