Hello world!
Eunice Tossy
by admin
2y ago
Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start writing ..read more
Visit website
Mwanaume haibwi
Eunice Tossy
by Eunice Tossy
3y ago
Hauwezi kumuiba mtu mwenye akili, unaweza kuiba vitu. Mtu mwemye akili anafanya maamuzi ya kuondoka au anashawishika na kubadilisha maamuzi. Hajaibiwa ila amefanya uamuzi muda mwingine hata bila kushawishika. Hauwezi kumuiba mtu mzima. Inabidi tufike mahala tusiwafanye wanaume kama vile watoto au vitu, au watumwa wa hisia za kimapenzi ambao hawawezi kutumia akili au kufanya maamuzi. Mtu mzima anayeweza kufanya maamuzi hawezi kuibwa, mtu mzima anayeweza kuongea hawezi kuibwa, mtu mzima anayeweza kutembea na kumfuata mtu sehemu nyingine hawezi kuibwa. Sijajua hii kihistoria inatokana na nini, na ..read more
Visit website
Mambo 3 ya muhimu katika maisha ambayo inabidi uwe makini unapoyatafuta
Eunice Tossy
by Eunice Tossy
3y ago
Katika maisha ya mwanadamu, yapo mambo mengi ambayo huvuta umakini wa kila mtu. Miongoni mwa mambo hayo yapo mambo matatu ambayo kutokana na takwimu za utafiti nilioufanya yameshika na kukamata hatamu ya umakini wa maisha ya mwanadamu. Mambo haya matatu yamepelekea kuwepo na matapeli wengi sana katika nchi mbalimbali tena mambo haya yameongeza udanganyifu mkubwa katika maisha. Mambo haya matatu kila ukipita katika maeneo mbalimbali mjini utakutana na vibao vinavyotaja kuhudumia watu katika mambo hayo. Tena wametokea wachungaji na wahubiri wengi wakiyapa kipaumbele mambo haya kwa sababu ndio ya ..read more
Visit website
Jinsi kutegemea wengine wakupende kunavyokukosesha furaha kwenye maisha
Eunice Tossy
by Eunice Tossy
3y ago
Watu wengi hawajui namna furaha inavyoathiri sehemu zote za maisha yao. Wengine husema watafurahi wakipata kazi, wengine husema watafurahi wakipata watoto, wengine husema watafurahi wakimaliza masomo, wengine husema watafurahi wakiwa na vyeo n.k lakini ukweli ni kuwa pesa, cheo, umaarufu, mali na kuhitimu masomo huwa hakuleti furaha inayodumu bali huleta furaha ya muda. Furaha ya muda ni kama vile sherehe utafurahia sherehe lakini baada ya sherehe unabaki na huzuni. Furaha ya kweli inatokana na kutosheka mwenyewe kwa maisha yako. Haina maana usitafute pesa, vyeo, mali, watoto, marafiki nk, h ..read more
Visit website
I went on a virtual speed dating event, and here’s what I’ve learned about finding a partner
Eunice Tossy
by Eunice Tossy
3y ago
First of all I thank the heavens for bringing Kudzanai into my life, she is the friend that carries my love life on her shoulders. She also brings so much joy in my life and plugs me to cool events happening in Zimbabwe so now you know it was a virtual speed dating event organized in Zimbabwe but love knows no borders so my girl hooked me up. It was for a good cause they were raising money for girls’ pads, i think the organizers are really smart honestly killing two birds with one stone, matching single people and meeting a need, i honestly felt good being a part of something amazing as that e ..read more
Visit website
Dear Single Person, You are worthy of love
Eunice Tossy
by Eunice Tossy
3y ago
And not just a struggling love, where you beg to be loved or have to go through hills and valleys for the guy/girl to realize you are a partner he/she can spend the rest of his/her life with. You are worthy of love, pure, comforting, ‘more than you can imagine’ love. You are worthy of love that is beautiful, the one that inspires. You are worthy of love the one that heals, makes you better and takes you out of your comfort zone. You are worthy of love that uplifts and empowers you. You are worthy of love that understands, that is kind, that is giving. You are worthy of love from yourself. Yo ..read more
Visit website
Here’s the solution to Africa’s biggest problem
Eunice Tossy
by Eunice Tossy
3y ago
This is part two of the series by Murunga Makau, you can read part 1 here to know Africa’s biggest problem. Now let’s read it’s solution… Having recognized the problem, what is the best solution? How do we get out of this hole? One word: EDUCATION. The problem we are in is a result of ages of MISEDUCATION. It is miseducation that has led us into the mess that we currently are in. The crap that has been given to us in the name of education is miseducation. It doesn’t teach us our true history, it doesn’t tell us who we actually are, it doesn’t teach us about our heroes. It instead teaches us to ..read more
Visit website
Here is Africa’s biggest problem and it’s solution
Eunice Tossy
by Eunice Tossy
3y ago
Many a times, the question ‘what can be done to change Africa’ has been asked. I have taken time to think about it and below are my thoughts. Africa faces many problems. The list of the problems is long. Very long. They include; civil conflicts, droughts and famines, diseases such as Malaria and AIDS, corruption, poor infrastructure, debt, poverty, etc. Long list. Generally speaking, the persistence of these problems can be blamed on poor leadership. Those masquerading as leaders are actually dealers. Africa is suffering from lack of leadership. We have a leadership problem. That however does ..read more
Visit website
Sheria 7 za mafanikio
Eunice Tossy
by Eunice Tossy
3y ago
1- Mafanikio ni zaidi ya vita ndio maaana wanaopambana ni wengi na wanaoshinda ni wachache. 2- Kila mtu anajua siri ya mafanikio yake, kwahiyo usijifananishe na mtu, pambana wewe kama wewe. 3- Usitake mafanikio ya haraka kumbuka kila chenye haraka kina gharimu. 4- Fanya mambo yako kwa upekee hata kama jambo hilo mnafanya watu zaidi ya wawili, upekee ndio unaongeza thamani yako Pia Soma : Ukipata kazi usinunue gari kwanza 5- Kuwa mtu wa pekee kwani mafanikio huenda kwa watu wachache wenye upekee. Ila upekee wa juhudi za ziada. 6 Daima mtangulize Mungu yeye ndio anajua hatima yako. 7 ..read more
Visit website
Jinsi ya kupangilia ratiba yako ya siku
Eunice Tossy
by Eunice Tossy
3y ago
Naomba nikufahamishe kuwa, miongoni mwa sifa zinazotofautisha watu waliofanikiwa kiuchumi na wale wasio fanikiwa kiuchumi ni uwezo wa mtu binafsi kuishi kutokana na ratiba ambayo mtu husika kaipangilia kila siku. Katika dunia ya sasa si ajabu kukuta mtu hajui kuanzia muda huu mpaka jioni atakuwa amefanya jambo gani na kwa muda gani. Pia hajui jambo analopanga litakuwa lenye tija na manufaa kwa namna ipi. Hii ni hatari. Pia Soma : Unautumia vipi wakati wako? Ipo hivi miongoni mwa tabia za watu waliofanikiwa ni uwezo wa kuweka malengo katika kila siku za maisha yao. Huwezi kufanikiwa K ..read more
Visit website

Follow Eunice Tossy on FeedSpot

Continue with Google
Continue with Apple
OR