Madrid 3, City 3. Ya Kibabe
Kandanda | The Football World
by Tigana Lukinja
1w ago
Mechi Bora sana kuanzia mbinu mpaka uwezo wa mchezaji mmoja mmoja wametupa mechi Bora sana yenye hadhi ya UEFA Champions League 4-4-2 ya Real Madrid kama kawaida yao ni kufanya Build-up kuanzia chini kupitia kwa Viungo wao wawili(Kroos & Camavinga) na kucheza pembeni zaidi kupitia kwa Runners wao(Vinicius JR, Rodrygo + Valverde ambaye alikuwa kama Free role player)!. Hapa walifanikiwa kwenye maeneo mawili… Kuwanyima Man City uhuru wa kukimbia kwenye nafasi pembeni zaidi hasa First Half(Foden & Bernardo wakarudi kucheza karibu sana walipo Kovacic na Rodri + Stones) Kuziba haraka kwa u ..read more
Visit website
Fact na Dhana Tofauti Mpira wa Aziz Ki
Kandanda | The Football World
by ©️Mdidi the Writer
1w ago
Kutoka kwenye Sanduku langu la Maoni mpira ule haukuvuka mstari wa Goli na ndio maana leo hii kumetokea pande mbili zinazokinzana kuhusu kama lile lilikuwa goli halali ama la! Kwa nilivyoona lile Tukio kwa Picha za Video tulizopewa toka Room ya VAR hazikutosha kusema lile ni Goli Halali! Sheria namba 10 ya SHERIA YA GOLI KWENYE MCHEZO WA SOKA – IFAB wenye Sheria zao inasema “goli linafungwa na kukubalika endapo mpira wote (Usibaki hata kidogo) utakuwa umevuka mstari wa goli uliochini ya milingoti ya goli huku kukiwa hakuna uvunjifu wowote wa sheria za Soka kwa timu iliyofunga goli” Ni Mstari ..read more
Visit website
10/10 Wachezaji wa Yanga vs Mamelod
Kandanda | The Football World
by Mwandishi Wetu
1w ago
Mechi ya pili ya Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika kati ya Mamelod Sundowns na Yanga ilisha kwa Mikwaju ya Penati, na Yanga kuishia katika hatua hii. Katika kikosi kilichoaanza, unampa alama ngapi kwa kila mchezaji 10/10. 1.Djigui Diarra 2 Dickson Job 3 Joyce Lomalisa 4 Bakar Mwamnyeto 5 Bacca 6 Jonas Mkude 7 Max Nzengeli 8 Mudathir Yahaya 9 Joseph Guede 10 Aziz Ki Kennedy Musonda ..read more
Visit website
Simba Yawataja Itakaowapiga Chini Dirisha Dogo
Kandanda | The Football World
by Mwandishi Wetu
5M ago
Wekundu wa Msimbazi Simba bado hali si shwari kutokana na matokeo mabaya waliyokutana nayo katika michezo yao ya Ligi Kuu ya NBC na hivyo kupelekea viongozi wake kufanya tathmini ya usajili wao mkubwa walioufanya. Katika michezo mitatu ya mwisho Simba imekua na muenendo mbovu ambapo wamepata ushindi mara moja, sare moja na kipigo kimoja kizito kutoka kwa Watani wao cha mabao matano. Kufuatia hali hiyo imewafanya viongozi wa Simba chini ya Mwenyekiti wake wa bodi Salim Abdallah “Try again” kupitia usajili wao na kukiri kuna wachezaji wataachana nao dirisho dogo. Mwenyekiti wa bodi ya klabu ya ..read more
Visit website
Yanga Ilivyosepa na Kijiji Msimbazi.
Kandanda | The Football World
by Mwandishi Wetu
5M ago
Kama ilivyo ada mchezo wa Watani wa Jadi huchezwa siku moja lakini matokeo yake hubaki ama huishi muda mrefu zaidi kutokana na ukweli kwamba matokeo ya mechi hiyu huishi muda mrefu. Kocha Robert Oliveira “Robertinho” tangu atue nchini katikati ya msimu uliopita hakuwahi kupoteza mchezo hata mmoja wa Ligi lakini kipigo cha mabao matano kutoka kwa Mtani kimemfanya kupoteza kibarua chake, hivyo kufuzwa kwa kupoteza kwa mechi moja pekee ya Ligi. Pacome Zouzoua akimuacha Clatous Chama wa Simba. Kupitia taarifa rasmi ya klabu kwa umma Simba ilisema “Klabu imefikia makubaliano ya pande zote mbili ku ..read more
Visit website
Simba Inavyowakosea Wachezaji Wao
Kandanda | The Football World
by Abdul Mkeyenge
5M ago
Nimeona video za wachezaji wawili wa Simba Sc Shomary Kapombe na Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ wakimwagika machozi baada ya kipigo cha mabao 5-1 dhidi ya mtani wao Yanga jana. Nikaona na video za mashabiki wa Simba SC wakilalama mitandaoni kuhusu timu yao. Nimebaki kusimama kati. Machozi ya Tshabalala na Shomari yana majibu ya mashabiki wengi waliokuwa wanalalamikia wachezaji wao. Shomary Kapombe Shomari na mwenzake wanajua maana ya kupoteza dhidi ya mtani, tena kwa idadi kubwa ya mabao kama ile. Machozi yale sio ya kuigiza. Ni machozi yaliyotoka ndani ya mioyo yao. Heshima, heshima, heshima ..read more
Visit website
Muargentina: Afrika Kesho Itapata Burudani Kubwa
Kandanda | The Football World
by Mwandishi Wetu
5M ago
Wananchi Yanga watakua kibaruani ugenini dhidi ya Yanga katika mchezo wa raundi ya nane wa Ligi Kuu ya NBC katika Dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa kumi na moja jioni. Wananchi wataingia uwanjani wakiwa kinara  katika msimamo wakiwa na alama 18 sawa na Watani wao Simba lakini Yanga wao wakiwa na wastani mzuri wa mabao yakufunga na kufungwa. Dickson Job “Big Brain Defender” Kuelekea mchezo huo mlinzi wa Yanga na Dickson Job ameongea kwa niaba ya wachezaji wenzake mbele ya Waandishi wa habari akiuzungumzia mchezo huo ukiwa ni miongoni mwa mechi mkubwa kwasasa Barani Afrika. Akiongea ka ..read more
Visit website
Simba; Tumejiandaa Tunajua Hisia Zenu!
Kandanda | The Football World
by Mwandishi Wetu
5M ago
Hatimae umebaki usiku mmoja pekee kuelekea katika mchezo wa Dabi kwenye Ligi namba 5 kwa ubora Barani Afrika kati ya Wekundu wa Msimbazi Simba dhidi ya Wananchi Yanga. Kama ilivyo ada si tu mchezo wa Ligi wa kawaida bali hubeba hisia kubwa za mashabiki wa soka nchini kutokana na umuhimu wa matokeo ya mchezo huo kwa pande zote. Shomary Kapombe. Kuelekea mchezo huo mbele ya Waandishi wa habari mlinzi wa kulia wa Simba Shomary Kapombe akiuzingumzia mchezo huo alisema “Kwa upande wetu wachezaji tupo tayari, tumepata wiki moja ya maandalizi ambayo inatufanya tuwe tayari kwa mchezo wa kesho,” alise ..read more
Visit website
Kariakoo Dabi Inavyogonga Afrika Nzima.
Kandanda | The Football World
by Mwandishi Wetu
5M ago
Naam joto la Watani wa Jadi linazidi kufukuta kuelekea Novemba tano Jumapili ambapo Simba atakua mwenyeji wa Yanga katika mchezo wa mzunguko wakwanza wa Ligi Kuu ya NBC. Licha ya mvua kubwa inayonyesha mjini Dar es salaam lakini vilabu hivyp na mashabiki wao ni kama hawana habari nayo wakiendelea na maandalizi wa mchezo huo ambao kwa kiasi kikubwa una nafasi yake katika alama za ubingwa wa Ligi msimu huu. Tayari Yanga wameshapoteza mchezo mmoja wa Ligi na hivyo kuiacha Simba pekee ikiwa haijapoteza mchezo mpaka sasa “unbeaten” licha yakwamba Yanga wapo kileleni mwa Ligi na alama 18 sawa na Si ..read more
Visit website
Betpawa Yatoa Bilioni 53 Kwa Siku 10!
Kandanda | The Football World
by Mwandishi Wetu
6M ago
Umekuwa ushindi uliovunja rekodi kwa wateja wa betPawa nchini Tanzania, ambao walijishindia TSh 53.8 Bilioni ndani ya siku 10.Wateja 335,706 tofauti walisherehekea ushindi wakati wa mafanikio ya kuweza kubashiri kwa usahihi kwenye michezo kati ya Jumamosi tarehe 21 na Jumatatu tarehe 30 Oktoba. Mshindi mkubwa kuliko wote alijishindia TSh 372.9 Milioni kwa dau la TSh2,200, ikiongezewa na Bonasi ya Ushindi ya 645% kwenye mechi 50 alizobashiri. Hii imedhihirisha kauli mbiu yetu ya betPawa pesa kidogo, ushindi mkubwa (Bet Small,Win BIG) Kwa jumla wateja 3,738 wa betPawa Tanzania walibadilishwa ku ..read more
Visit website

Follow Kandanda | The Football World on FeedSpot

Continue with Google
Continue with Apple
OR