Harry, Meghan Wajitoa Ufalme Uingereza.
Mwanaharakati Mzalendo Media
by
4y ago
Siku kadhaa baada ya Nabii Tb Joshua kutoa utabiri wa matukio yatakayotokea mwaka 2020 ikiwemo kusisitiza kuombea amani familia ya kifalme ya uingereza, mapema leo Mwana mfalme Harry na mkewe Meghan wametangaza kujiondoa kama wafalme waandamizi wa familia hiyo na kuamua kuishi maisha ya kawaida kaskazini mwa ulaya. "Tumeamua  kujindoa kama waandamizi wa familia ya kifalme na kuondoa utegemezi wetu kifedha kwa familia hii, hata ivyo tutaendelea kumsapoti malkia"  sehemu ya taarifa yao ilisomeka hivyo. Taarifa ya jumba la ufalme imesema wanandoa hao hawakuwasiliana na wahusika wengine wa u ..read more
Visit website
TIGO YAWAKABIDHI ZAWADI WASHINDI WA PROMOSHENI YA WAKALA KINARA
Mwanaharakati Mzalendo Media
by
4y ago
Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini, Ndugu Abbas Abdurahamani akiwa na Washindi wawili ambao ndio mawakala bora wa Tigo pesa kanda ya kusini kutoka Iringa katika Promosheni ya Mawakala wa Tigo Pesa mwezi Disemba 2019..JPG Meneja wa Tigo Kanda ya Kusini, Ndugu Abbas Abdurahamani akiwa na Washindi wawili ambao ndio mawakala bora wa Tigo pesa kanda ya kusini kutoka Iringa katika Promosheni ya Mawakala wa Tigo Pesa mwezi Disemba, 2019..JPG.jpg Mkurugenzi wa kanda ya Ziwa wa matandao wa Tigo Uthmaan Madati, akimkabidhi mfano wa hundi mshindi wa shindano la Wakala Kinara, mwakilishi wa Harry ..read more
Visit website
Mashirika ya ndege yasitisha safari zake kupitia anga la Iraq
Mwanaharakati Mzalendo Media
by
4y ago
Mashirika kadhaa makubwa ya ndege duniani yamesema hii leo kwamba yanabadilisha njia za safari za ndege ili kuliepuka anga la Iraq na Iran baada ya Shirika la Marekani la usafiri wa angani, FAA kuzizuia ndege za taifa hilo kutumia anga hiyo kufuatia shambulizi la makombora lililofanywa na Iran kwenye vikosi vya Marekani nchini Iraq. FAA imesema imetoa zuio la anga ambalo pia linajumuisha anga za Ghuba na Oman na eneo la bahari kati ya Iran na Saudi Arabia kutokana na kile ilichotaja kuwa ni kuongezeka kwa shughuli za kijeshi na wasiwasi wa kisiasa Mashariki ya Kati hali inayotishia shughuli ..read more
Visit website
Matokeo Kidato Cha Pili na Nne 2019 Hewani. Bonyeza Hapa Kuyapata
Mwanaharakati Mzalendo Media
by
4y ago
Baraza la Taifa la mitihani Tanzania kupitia kwa katibu wake Dk. Charles Msonde mapema leo llimetangaza matokeo ya kidato cha pili, kidato cha nne na matokeo ya Maarifa (QT) kwa mwaka 2019.    BONYEZA HAPA kupata matokeo ya kidato cha nne (Form Four) na HAPA kupata matokeo ya kidato cha pili (Form Two ..read more
Visit website
Aliyemteka Mtalii Zanzibar Anaswa.
Mwanaharakati Mzalendo Media
by
4y ago
Kamanda wa Polisi mkoa wa mjini Magharibi, Unguja amethibitisha kukamatwa kwa kijana Seif Michano (28) aliyekuwa anatafutwa kwa kosa la kumtisha, kumteka na kumnyang'anya mtalii mwenye asili ya Marekani huko Zanzibar. Kijana huyo (Seif) na wenzake ambao bado wanatafutwa, kwa kutumia gari aina ya Noah walimteka Bw Sheiley Moris katika maeneno ya Unguja na kumlazimisha kutoa kila kitu alichokua nacho ili kusalimisha maisha yake. Mtuhumiwa Seif amekutwa na Kadi kadhaa za benki za marekani zinazomilikiwa na Sheiley pamoja na vitu vengine. "Tunamshikilia Seif tulimkuta na ATM card za Mmar ..read more
Visit website
Yanga Yanasa Kocha Mbelgiji. Kutua Zanzibar Leo.
Mwanaharakati Mzalendo Media
by
4y ago
Klabu ya Yanga imemtangaza kocha Mpya wa klabu iyo ambaye atapokea kijiti kutoka kwa aliyekuwa kocha wa muda Boniface Mkwasa kama kocha mkuu wa klabu iyo. Kocha huyo mwenye asili ya ubelgiji anakuja kuziba nafasi iliyoachwa na aliyekuwa kocha wa klabu iyo, Mkongo Mwinyi Zahera aliyeachwa mapema novemba mwaka jana kwa matokeo mabovu. Luc Eymaela mwenye umri wa miaka 60 ambaye amezaliwa mnamo septemba 20,1959 nchini ubelgiji ana uzoefu mkubwa wa kufundisha soka katika nchi za kiafrika akiwa amefundisha zaidi ya vilabu 12 katika ligi za nchi mbali mbali za afrika zikiwemo Dr Congo, Rwanda, K ..read more
Visit website
Meya Dar Atua Kortini, Apinga Kuvuliwa Umeya
Mwanaharakati Mzalendo Media
by
4y ago
MSTAHIKI  Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita,  amewasilisha pingamizi la maombi mawili likiwemo la kuweka zuio la kikao cha kujadili ajenda ya kumuondoa kwenye nafasi yake ya umeya wa jiji la Dar es Salaam. Maombi hayo yamewasilishwa na wakili wa utetezi, Hekima Mwasipu, ambapo ameomba mahakama hiyo itoe zuio la vikao vya halmashauri ya jiji kutojadili ajenda ya kumuondoa meya huyo  kwenye nafasi yake mpaka hapo kesi ya msingi itakaposikilizwa. Mwasipu amesisitiza kuwa ibara ya 13 (6)(a) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wakati haki ya mtu inaposikilizwa na mahakama au ch ..read more
Visit website
Moto Kigamboni Wazua Taharuki. Wazimwa.
Mwanaharakati Mzalendo Media
by
4y ago
Moto mkubwa uliozuka jana usiku maeneo ya kigamboni ambao ulizua taharuki kwa wananchi wa maeneo ya karibu na eneo hilo umefanikiwa kuzimwa.  Akizungumza na waandishi wa habari, mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mh Sarah Msafiri amesema moto huo uliozuka katika maghala ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya Lake Oil maeneo ya kigamboni ulifanikiwa kuzimwa kutokana na ushirikiano wa wananchi, vyombo vya ulinzi pamoja na wafanyakazi wa kampuni  iyo ya Lake Oil.  Moto huo ambao chanzo chake bado kinachunguzwa ulichagizwa na kuwepo kwa "valvu" iliyokuwa inavuja chini katika moja ya tanki la kuhifad ..read more
Visit website
HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KIUNGANISHI CHA UTALII WA HIFADHI AFRIKA
Mwanaharakati Mzalendo Media
by
4y ago
..read more
Visit website
Haya Hapa Mambo Makubwa Sita Aliyoyasema Rais Wa Marekani, Donald Trump Katika Hotuba Yake Baada Ya Shambulizi la Iran.
Mwanaharakati Mzalendo Media
by
4y ago
Rais wa Marekani Donald Trump Katoa Hotuba Yake Baada ya Shambulizi la Iran lililopiga ngome mbili za Marekani leo...Hapa Nimekuwekea Mambo Muhimu Sita aliyosema 1.Trump: Hatuko Tayar na Hatutakubali Iran imiliki Silaha za Nuclear 2.Trump: Mashambulizi ya Iran hayajasabisha madhara yoyote. Hakuna Mwanajeshi hata mmoja aliyeuawa zaidi ya uharibifu mdogo tu kwenye kambi zetu 3.Trump: Iran wanaonekana kunywea; Makusudi kabisa wamechagua kutoua mwanajeshi wetu hata mmoja. Hii ni kitu kizuri kwetu na Dunia nzima 4.Trump: Jenerali wao tuliyemuua alikuwa anapanga kufanya mashambulizi makubwa kwenye ..read more
Visit website

Follow Mwanaharakati Mzalendo Media on FeedSpot

Continue with Google
Continue with Apple
OR