Instagram Inafanya Majaribio ya Uchapishaji wa Video za Reels Zenye Urefu wa Hadi Dakika 3.
TeknoKona Teknolojia Tanzania
by LanceBenson
1w ago
Instagram inafanya majaribio kuongeza uwezo wa watumiaji wake kuruhusiwa kuchapisha video za Reels zenye urefu wa hadi dakika 3. Hii ni hatua muhimu katika kuboresha uzoefu wa watumiaji wake, kwa kuwapa fursa ya kushirikisha maudhui marefu zaidi kwenye jukwaa hilo ikilinganishwa na kikomo cha sasa cha sekunde 90. Kama inavyoonekana katika mfano uliotolewa na Justin […] The post Instagram Inafanya Majaribio ya Uchapishaji wa Video za Reels Zenye Urefu wa Hadi Dakika 3. appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania ..read more
Visit website
OpenAI, watengenezaji wa ChatGPT, wameungana na Figure AI kuleta roboti yenye uwezo kujifunza na kuzoea mazingira mapya.
TeknoKona Teknolojia Tanzania
by LanceBenson
1w ago
OpenAI, kampuni iliyounda ChatGPT, maarufu kwa uwezo wake wa kujibu maswali na kuunda maandishi, imechukua hatua kubwa kuelekea kwenye siku za usoni za teknolojia. Ushirikiano huu unalenga kuunda roboti zenye uwezo wa kujifunza na kuzoea mazingira mapya hivyo kufungua uwezekano mpya wa mwingiliano kati ya binadamu na mashine “kutusaidia katika maisha ya kila siku.” Lakini […] The post OpenAI, watengenezaji wa ChatGPT, wameungana na Figure AI kuleta roboti yenye uwezo kujifunza na kuzoea mazingira mapya. appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania ..read more
Visit website
Kuanguka kwa Boeing: Simulizi ya Tamaa, Uzembe na Njaa.
TeknoKona Teknolojia Tanzania
by LanceBenson
1w ago
Boeing, jina lililowahi kuwakilisha uvumbuzi na ufundi wa hali ya juu katika anga, limeshuhudia kushuka kwa sifa yake na Bidhaa zake zimekuwa zikilalamikiwa kwa viwango vya usalama kwa muda sasa. Msukosuko huu wa Boeing ulizia kwenye muungano mkubwa kati ya kampuni ya Boeing na McDonnell Douglas uliofanyika mwaka 1997. Muungano huu ndio uliobadilisha mwelekeo wa […] The post Kuanguka kwa Boeing: Simulizi ya Tamaa, Uzembe na Njaa. appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania ..read more
Visit website
Telegram: Hekalu la Usalama Mtandaoni Lililobadilika Kuwa Uwanja wa Wahalifu.
TeknoKona Teknolojia Tanzania
by LanceBenson
2w ago
Katika zama hizi za kidijitali, Telegram huonekana kama ni alama ya usalama kwenye mawasiliano. Umaarufu wake umepanda kwa kasi hadi kufikia watumiaji milioni 500, ukivutia kwa usalama wake na usiri wa watumiaji. Lakini, sifa hizi njema zimegeuka kuwa kivuli cha giza, kwani Telegram inazidi kuwa kitovu cha shughuli za uhalifu. Wahalifu wanavutiwa na Telegram kwa […] The post Telegram: Hekalu la Usalama Mtandaoni Lililobadilika Kuwa Uwanja wa Wahalifu. appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania ..read more
Visit website
Marekani Kupiga Marufuku TikTok: Je, Hatma ya Mtandao Huu Maarufu Inaelekea Wapi?
TeknoKona Teknolojia Tanzania
by LanceBenson
2w ago
Katika hatua ya kihistoria, Bunge la Marekani limepitisha muswada ambao unaweza kusababisha TikTok kupigwa marufuku nchini Marekani. Muswada huu unapendekeza kuwa kampuni mama ya TikTok kutoka China, ByteDance, itapewa miezi sita kuuza sehemu yake kubwa ya umiliki au programu hiyo itazuiliwa nchini Marekani. Ingawa muswada huu ulipitishwa kwa kura nyingi pande zote za wabunge, bado […] The post Marekani Kupiga Marufuku TikTok: Je, Hatma ya Mtandao Huu Maarufu Inaelekea Wapi? appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania ..read more
Visit website
Samsung wanakuja na Samsung Galaxy Ring, Pete janja yenye uwezo wa hadi kuendesha TV.
TeknoKona Teknolojia Tanzania
by LanceBenson
2w ago
Katika ulimwengu wa teknolojia, mambo mapya ya kushangaza hayakomi. hasa katika zama hizi ambapo teknolojia inazidi kusonga mbele kwa kasi, Samsung wameleta kwetu uvumbuzi mpya unaovutia – Pete Janja ya Samsung Galaxy. Pete hii si tu kwa ajili ya urembo, bali ni kifaa chenye uwezo wa kipekee ambao unaweza kubadilisha jinsi tunavyoingiliana na vifaa vyetu […] The post Samsung wanakuja na Samsung Galaxy Ring, Pete janja yenye uwezo wa hadi kuendesha TV. appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania ..read more
Visit website
Sasa Tumia Akaunti(namba) 2 za WhatsApp Kwa Wakati Mmoja Kwenye WhatsApp na Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuweka Akaunti ya Pili.
TeknoKona Teknolojia Tanzania
by LanceBenson
2w ago
Fursa mpya kwa watumiaj wa mtandao wa jumbe fupi, WhatsApp, kuanzia sasa, unaweza kutumia akaunti mbili kwenye programu moja ya WhatsApp hii baada ya kuleta kipengele hicho kwenye mabosheresho yake hivi kabirubuni. Hii ni habari njema hasa kwa watu wanaotaka kutofautisha mawasiliano ya maisha kibinafsi na yale ya kazi. Kwani utaweza kutumia namba mbili kwenye […] The post Sasa Tumia Akaunti(namba) 2 za WhatsApp Kwa Wakati Mmoja Kwenye WhatsApp na Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuweka Akaunti ya Pili. appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania ..read more
Visit website
TikTok inasemekana imejipanga kuzidisha ushindani na Instagram kwa kuja na Programu Mpya ya ‘TikTok Photos’
TeknoKona Teknolojia Tanzania
by LanceBenson
2w ago
TikTok, mtandao maarufu wa video fupi, huenda ikajiingiza katika eneo la picha kwa kuja na programu ya kushirikisha(kushare) picha “TikTok Photos” Taarifa za hivi karibuni zinaonesha mtandao huo unamilikiwa na Kampuni kutoka China iitwayo ByteDance upo mbioni kutambulisha progaramu mpaya ambayo itakuwa imekita kwenye picha kama jinsi ilivyo kwa Instagrama Inayomilikiwa na Meta Hatua hii […] The post TikTok inasemekana imejipanga kuzidisha ushindani na Instagram kwa kuja na Programu Mpya ya ‘TikTok Photos’ appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania ..read more
Visit website
X Zamani Twitter, Yazindua Makala(Article): Uwezo wa kuandika chapisho lenye herufi hadi laki moja(100, 000).
TeknoKona Teknolojia Tanzania
by LanceBenson
2w ago
Hivi karibuni, mtandao wa X umetambulisha kipengele kipya kinachoitwa Makala(Article) itakayoruhusu kuchapisha maudhui marefu yenye herufi hadi laki moja. Lakini je, huu ni uvumbuzi wenye tija au la? Twende tuone! Kipengele hiki kipya ambacho kinapatikana kwa watumiaji wa kulipia (X Premium+) na mashirika yaliyothibitishwa (verified) wanapata nafasi ya kipekee ya kuchapisha makala ndefu zenye muundo […] The post X Zamani Twitter, Yazindua Makala(Article): Uwezo wa kuandika chapisho lenye herufi hadi laki moja(100, 000). appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania ..read more
Visit website
Canal+ Kununua Multichoice: Mapinduzi ya DStv?
TeknoKona Teknolojia Tanzania
by LanceBenson
3w ago
Kampuni ya Canal+, ambayo ni kampuni kubwa ya vyombo vya habari kutoka Ufaransa, imejitosa katika mazungumzo ya kununua MultiChoice, kampuni mama ya DSTV huko Afrika Kusini. Canal+, ambayo kwa sasa ndiye mwekezaji mkubwa katika Multichoice, ilithibitisha kuwasilisha barua kwa Bodi ya Wakurugenzi ya MultiChoice. Katika barua hiyo, Canal+ ilifafanua pendekezo la kununua hisa zote za […] The post Canal+ Kununua Multichoice: Mapinduzi ya DStv? appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania ..read more
Visit website

Follow TeknoKona Teknolojia Tanzania on FeedSpot

Continue with Google
Continue with Apple
OR