DPP apinga mfungwa wa ugaidi kukaa jela siku nane tu!
Taifa Leo
by T L
1h ago
NA RICHARD MUNGUTI IDARA ya Magereza imeagizwa na Mahakama Kuu isimwachilie gaidi aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha miaka 12 kwa kuwa mwanachama wa kundi la kigaidi la ISIS. Jaji Lilian Mutende aliamuru Dkt Mohamed Abdi Ali asalie gerezani hadi kesi iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Renson Ingonga akipinga hukumu hiyo ya miaka 12 ..read more
Visit website
Makuu aliyokusudia kufanya Jenerali Ogolla katika eneo la Boni
Taifa Leo
by T L
1h ago
NA KALUME KAZUNGU VIONGOZI na wakazi wa maeneo yanayokumbwa na utovu wa usalama Kaunti ya Lamu wamefichua jinsi kifo cha ghafla cha Mkuu wa Majeshi nchini, Jeneral Francis Ogolla kilivyowaacha na huzuni wakikumbuka jinsi ambavyo jeshi linawasaidia kukabili adui. Wakazi, hasa wale wa vijiji vya ndani ya msitu wa Boni na mpakani mwa Lamu na ..read more
Visit website
Familia ya Moi yachangisha pesa za matibabu ya mjukuu
Taifa Leo
by T L
2h ago
JOSEPH OPENDA Na KENNEDY KIMANTHI JAPO aliyekuwa Rais wa Pili wa Kenya, Hayati Daniel Moi alikuwa kiongozi wa kuheshimika Afrika na mmoja wa watu matajiri zaidi nchini, miaka minne baada ya kifo chake, familia yake imeshindwa kumudu gharama ya vitu vya kimsingi kama huduma ya afya. Kesi ya urithi inayoendelea mahakamani imezuia matumizi ya mamilioni ..read more
Visit website
Wilson Lemkut: Shujaa aliyewaokoa watoto 16 ziwani Baringo
Taifa Leo
by T L
2h ago
KEN RUTTO Na LABAAN SHABAAN HII ni simulizi iliyojaa ushujaa. Simulizi ya Bw Wilson Lemkut aliyewaokoa watoto 16 waliokuwa karibu wafe maji katika mkasa wa boti katika Ziwa Baringo. Tukio hili la ujasiri lilileta afueni kiasi katika kipindi ambapo familia zilizowapoteza wapendwa wao wakati wa mkasa huo, zingali zinaomboleza. Watu saba waliaga dunia lakini ukakamavu ..read more
Visit website
Mwanamume asema kutojaliwa mtoto kumezidisha moyo wa kuwatetea watoto wote
Taifa Leo
by T L
4h ago
NA KALUME KAZUNGU “NILIVYO Mwafrika halisi ninaamini kabisa kwamba inachukua kijiji kizima katika malezi ya mtoto. Licha ya kukosa bahati ya kuzaa maishani mwangu, watoto bado wamesalia kipenzi changu cha moyo. Nitatetea haki zao hadi kifo.” Hayo ni maneno ya Bw Abdulaziz Abdu Swadik. Akiwa na miaka 50, Bw Swadik anafahamika ndani na nje ya ..read more
Visit website
Ruto ziarani TZ, Zimbabwe nyuma akiacha mafuriko, mgomo wa madaktari
Taifa Leo
by T L
5h ago
NA CHARLES WASONGA HUKU taifa likizongwa na athari za mafuriko na mgomo wa madaktari, Rais William Ruto Alhamisi aliondoa nchini kwa ziara katika nchi za Tanzania na Zimbabwe. Akiwa Tanzania Dkt Ruto anatarajiwa kuhudhuria sherehe za kuadhimisha Miaka 60 tangu Tanzania Bara kubuni Muungano na Kisiwa cha Zanzibar. Kwenye taarifa aliyotuma kwa vyombo vya habari ..read more
Visit website
Mitambo: ‘Kisiagi’ cha uchumi wa ‘kadogoo’ kisichopiga kelele
Taifa Leo
by T L
6h ago
NA LABAAN SHABAAN WAKATI huu ambapo gharama ya maisha inapanda na mja anahitaji kutumia muda mwingi kujitafutia riziki, anahitaji mtambo wa kurahisisha shughuli. Wapenda ugali wasiopenda kupanga foleni wakienda kwa kisiagi cha mahindi kupata unga, sasa wanaweza kununua mtambo huo mdogo kujisagia unga wakiwa nyumbani kwao. Aidha, badala ya mtambo wa kusaga nafaka na mazao ..read more
Visit website
Baada ya mafuriko, wakazi sasa wavamiwa na nyoka majumbani mwao
Taifa Leo
by T L
15h ago
SHABAN MAKOKHA NA LABAAN SHABAAN WAKAZI wa Kijiji cha Mudende huko Bunyala, Kaunti ya Busia wanaishi na hofu ya kuvumiwa na nyoka. Hii ni baada ya wanyama hawa kusombwa na maji hadi nyumbani mwao. Familia ambazo hazikuhama makazi yalioathiriwa na maji wameripoti kuongezeka kwa nyoka nyumbani. Bi Florence Akinyi, mmoja wa wakazi, anaeleza kuwa amekutana ..read more
Visit website
Mume hujisaidia kitandani, nimechoka kufua shuka kila siku!
Taifa Leo
by T L
16h ago
Shangazi, Mume wangu wa miaka 10 na nampenda sana. Tatizo ni kwamba katika muda huu wote amekuwa akikojoa kitandani tangu tuoane. Nimekuwa nikifua shiti kila siku! Tatizo la kukojoa kitandani hasa kwa watu waliokomaa kiumri, ni la kiafya. Je uko tayari kumtema mtu kwa sababu ya jambo asiloweza kuzuia, hasa ikiwa mambo mengine anatimiza? Nimegundua ..read more
Visit website
Kenya ni namba moja kwa wanaume watanashati zaidi Afrika, utafiti wasema
Taifa Leo
by T L
16h ago
NA LABAAN SHABAAN KENYA imeorodheshwa kuwa namba moja kwa wanaume ‘warembo’ sana barani Afrika. Haya ni kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na jarida la Insider Monkey. Hii ni tovuti ya kibiashara ambayo hufuatilia masuala ya fedha na uwekezaji. Kulingana na utafiti huu, wanaume wa Kiafrika wanaaminiwa kuwa wanapendeza sana ikilinganishwa na wale wa ..read more
Visit website

Follow Taifa Leo on FeedSpot

Continue with Google
Continue with Apple
OR