Idadi ya waliofariki katika mkasa wa bwawa Maai-Mahiu yafikia 40
Taifa Leo
by T L
12m ago
NA MERCY KOSKEI IDADI ya waliofariki katika mkasa wa Jumatatu asubuhi wa bwawa mjini Maai-Mahiu imefikia 40. Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Nakuru Samuel Ndanyi amethibitisha kwamba kufikia saa sita mchana, takriban miili 40 ilikuwa imeopolewa kutoka kwa nyumba zilizoathirika. “Tumepata miili 40 ambayo ilikuwa imezikwa kwenye matope. Tunashuku kwamba walikuwa wanajaribu kutoroka kutoka ..read more
Visit website
MAONI: Uhuru anafaa aache mafumbo, azungumze waziwazi anachomaanisha
Taifa Leo
by T L
1h ago
 Na LEONARD ONYANGO MARAIS wastaafu nchini Kenya – Daniel arap Moi, Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta – wamekuwa wakionyesha tabia tofauti katika kuzungumzia masuala muhimu ya nchi. Moi alipong’atuka mamlakani mnamo 2002 baada ya kuongoza Kenya kwa miaka 24, alionekana jasiri licha ya kuwepo kwa vitisho kutoka kwa wanasiasa wa muungano tawala, National Rainbow Coalition ..read more
Visit website
Matumaini kwa raia maskini EU ikitoa Sh800m kuwasaidia katika utafutaji haki mahakamani
Taifa Leo
by T L
3h ago
NA TITUS OMINDE WAKENYA maskini wanaotafuta huduma za kisheria wamefaidika na ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU) wa Sh850m. EU ilitumia pesa hizo kama msaada kwa Wakenya wasiojiweza kumudu gharama ya kupokea huduma za haki kupitia mahakamani kupitia shirika la Huduma ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria (NLAS) nchini. Afisa anayesimia maswala ya utawala na ..read more
Visit website
Ruweida Obbo: Simba jike wa Lamu anayempa mtoto wa kike matumaini
Taifa Leo
by T L
4h ago
NA KALUME KAZUNGU USEMI uvumao katika ulimwengu wa sasa wa ‘awezacho kukifanya mwanamume, mwanamke anaweza kukifanya hata zaidi’ unadhihirishwa wazi na Mbunge wa Lamu Mashariki, Bi Ruweida Obbo. Bi Obbo, maarufu kama ‘Captain Ruweida,’ ni kiongozi anayetambulika, si eneobunge lake la Lamu Mashariki analowakilisha pekee bali pia kaunti nzima na Pwani. Ni mbunge shupavu ambaye ..read more
Visit website
Ongezeko la matukio ya vita kati ya polisi na KDF lazua hofu
Taifa Leo
by T L
5h ago
NA VALENTINE OBARA WANANCHI wameeleza wasiwasi kuhusu ongezeko la visa vya makabiliano kati ya maafisa wa polisi na wanajeshi nchini. Katika kisa cha majuzi zaidi, makabiliano yalizuka kati ya maafisa wa polisi na wanajeshi wa KDF katika kivuko cha feri Likoni, Kaunti ya Mombasa. Video iliyosambazwa mitandaoni ilionyesha kundi la wanajeshi wakipigana na maafisa wa ..read more
Visit website
Ufunguzi wa shule waahirishwa kwa juma moja zaidi kutokana na mafuriko
Taifa Leo
by T L
5h ago
NA TAIFA LEO RIPOTA SERIKALI imeahirishwa kufunguliwa kwa shule kote nchini kutokana na mafuriko makubwa yanayoendelea kushuhudiwa katika sehemu nyingi za taifa. Tarehe mpya ya kufunguliwa shule sasa ni Mei 6, 2024, ikimaanisha kwamba wanafunzi wana angalau juma moja zaidi la kukaa nyumbani. Kupitia taarifa iliyotolewa na Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu, maafisa wa nyanjani ..read more
Visit website
Shule zilizoathiriwa na mafuriko kusalia kufungwa, Serikali yasema
Taifa Leo
by T L
6h ago
Na WAANDISHI WETU SHULE zilizoathirika na mafuriko hazitafunguliwa leo Jumatatu, Aprili 29, 2024 kwa Muhula wa Pili baada ya mvua kubwa inayoendelea kunyesha sehemu mbali mbali nchini kusababisha hasara na vifo vya zaidi ya watu 70 na kuacha wengine 14,000 bila makao. Hii ni baada ya Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa ikiongozwa na ..read more
Visit website
Babu, 80, arudi chuoni kusaka digrii
Taifa Leo
by T L
8h ago
NA ELIZABETH OJINA MZEE mwenye umri wa miaka 80 amesajiliwa katika Chuo cha Kilimo cha Bukura kuendeleza masomo yake. Katika umri wake, Mzee Henry Mulongo Mukhanu anapaswa kuwa nyumbani akichunga mifugo au akisimamia shughuli katika shamba lake lililoko Cheranganyi Hills, Kaunti ya Trans Nzoia. Je, nini kilifanya babu huyu, aliyehudumu kama afisa wa mifugo katika ..read more
Visit website
Wanabunduki Arsenal wakaa ngumu na kuondoka na pointi tatu licha ya majaribu mengi
Taifa Leo
by T L
18h ago
NA TOTO AREGE ARSENAL walihakikisha wamezoa alama zote tatu kutoka kwa mahasimu wao wa jadi Tottenham Hotspur Jumapili, kutokana na ushindi wa 3-2 katika Debi ya London iliyochezwa ugani Tottenham Hotspur. Matumaini ya The Gunners ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) sasa yako hai wakiwa kileleni mwa jedwali na alama 80 baada ..read more
Visit website
Familia 15 zaokolewa baada ya nyumba ya orofa tatu kuangushwa na mafuriko
Taifa Leo
by T L
20h ago
NA SAMMY KIMATU FAMILIA 15 zimeponea kifo kwa tundu la sindano baada ya kuokolewa na maafisa wa utawala kabla ya nyumba ya orofa tatu waliyokodi kuporomoka mwishoni mwa juma. Akiongea Jumapili na Taifa Leo, naibu kamishna wa kaunti ndogo ya Starehe, Bw John Kisang alisema nyumba hiyo, katika mtaa wa mabanda wa Mukuru-Sokoni, South B ..read more
Visit website

Follow Taifa Leo on FeedSpot

Continue with Google
Continue with Apple
OR