Shilole Feat G Nako – Viuno (Official Music Video)
Kaskazinimix
by Amedeus Somi
3y ago
Kaskazini Mix Shilole Feat G Nako – Viuno (Official Music Video) Advertisements Loading... G Nako Ni msanii wa muziki wa Hip Hop, Mtunzi na Mtumbuizaji ametokea kuwa mkali sana katika kufanya Collabo bongo. Mwanzilishi wa kundi la Nako 2 Nako. Ni mwanachama wa kundi la Weusi kwa hivi sasa kiwango chake kimekuwa cha kupanda kila siku awepo ndani au nje ya kazi za kundi. Kwani tayari ana nyimbo rundo ambazo zinapendwa sana na mashabiki wa muziki nchini. Juhudi zake zimamfanya kupata shavu kutoka kwa wasanii wenzake wa ndani ya Tanzania. Na hizi ni baadhi tu ya nyimbo zake . Trend ake ft Merris ..read more
Visit website
Masauti ft Tanasha – Liar ( Official Music Video )
Kaskazinimix
by Amedeus Somi
3y ago
Kaskazini Mix Masauti ft Tanasha – Liar ( Official Music Video ) Advertisements Loading... Masauti Ni msanii wa muziki kutokea nchini Kenya anayefanya poa sana katika fani hiyo iliyojaa na wanamuziki wengi kutokea huko. Masauti nanlianza kuimba muziki wake mwaka 2007 na hapo ni baada ya kukutana na Shakayallah am,baye alimpa sana moyo. Baada ya hapo alionyeshwa njia nyingi na rafiki yake huyo kama kumpeleka kwa mtaalamu wa muziki  ambaye ni Ian Michapo na akwa tayari kumsaidia kwani Masauti hakuwa fiti sana. Shakayallah alimpa wasanii  anazoweza kusikiliza ili iweze kumjenga kama U ..read more
Visit website
Bayern Munich yaishushia FC Barcelona kipigo cha paka mwizi 8 – 2
Kaskazinimix
by Amedeus Somi
3y ago
Kaskazini Mix Bayern Munich yaishushia FC Barcelona kipigo cha paka mwizi 8 – 2 Advertisements Loading... Lisbon, URENO Klabu ya Bayern Munich wameishushia kipigo cha mbwa mwizi FC Barcelona kwa kuwachapa mabao 8-2 kwenye robo fainali UEFA. Miamba hiyo kutoka Ujerumani walionyesha cheche zao mapema tu katika dakika ya 4. Kufuatia shambulion la Robert Lewandowski aliyetoa pasi safi kwa Thomas Muller   aliyetia kambani bao zuri sana. Bayern Munich wametuma ujumbe wa kuogopwa kwa wapinzani wao wa hatua ya nusu fainali pengine hata fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Ba ..read more
Visit website
Rais Magufuli apewa Tuzo ya umahiri kwa kupambana na Corona
Kaskazinimix
by Amedeus Somi
3y ago
Kaskazini Mix Rais Magufuli apewa Tuzo ya umahiri kwa kupambana na Corona Advertisements Loading... Dodoma, Baraza kuu la Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), limemkabidhi Tuzo maalum Rais wa Tanzania  John Magufuli. Kanisa hilo limetoa tuzo hiyo kutambua mchango wake katika kuliongoza Taifa kumtegemea Mungu katika kipindi cha janga la Corona nchini. Tuzo hiyo amekabidhiwa leo Agosti 14, 2020, na Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Dkt Barnabas Mtokambali, katika Mkutano Mkuu wa Baraza kuu la Kanisa la TAG, wakati akifungua mkutano huo, uliofanyika Jijini Dodoma. Aidha Askofu Mtokambali a ..read more
Visit website
Baba Levo X Rayvanny – Ngongingo (Official Audio)
Kaskazinimix
by Amedeus Somi
3y ago
Kaskazini Mix Baba Levo X Rayvanny – Ngongingo (Official Audio) Advertisements Loading... Rayvanny Jina lake lililomtambulisha kwenye game ya bongo fleva ni Raymond wakati anafika katika Record Label ya WCB alitoa nyimbo mbili. Alitoa Kwetu, Chuma Ulete na Natafuta kiki, baada ya hapo jina la Raymond likapotea na kuja na Rayvanny katika nyimbo za Unaibiwa, Chuma Ulete na Mbeleko. Mpaka sasa Rayvanny ni msanii wa Label ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz. Rayvanny amepata mafanikio makubwa ya ndani na nje ya Tanzania kama vile kutwaa tuzo ya BET kama mwimbaji bora. Lakini Rayvany aliwahi ..read more
Visit website
Ebitoke nimeingia Rasmi kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Sio Kiki hii ni kweli
Kaskazinimix
by David Lyimo
3y ago
Kaskazini Mix Ebitoke nimeingia Rasmi kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Sio Kiki hii ni kweli Advertisements Loading... Ebitoke nimeingia Rasmi kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Sio Kiki hii ni kweli Msanii na muigizaji anajulikana sana kama Ebitoke. Wengi wanamtambua kama mchekeshaji wa komedi za kibongo na video zake nyingi kutokea Timamu Tv. Jina lake la kuzaliwa anajulikana kama Annastazia Exavery. Pale Hyatt Kilimanjaro ndipo ilipofanyika uzinduzi wake mpya yeye kama mwanamuziki wa Bongo Fleva akishirikiana na mwenzake mpenzi wake wa zamani anayejulikana kama Simco.   Ebitoke nimeingia Ra ..read more
Visit website
Harrison Mwakyembe (CCM) Maudhui Redio za nje lazima yapite TCRA
Kaskazinimix
by Amedeus Somi
3y ago
Kaskazini Mix Harrison Mwakyembe (CCM) Maudhui Redio za nje lazima yapite TCRA Advertisements Loading... Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amesema kwamba serikali haijazuia maudhui ya Redio kutoka nje ya Tanzania kusikika. Waziri Mwakyembe ameyasema hayo katika mahojiano na kituo kimoja kwamba redio za nje zinapaswa kuitaarifu TCRA. Maudhui inayotaka kurusha, lengo ikiwa ni kulinda na kuheshimu maadili ya nchi. “Serikali haijakataza redio za ndani kujiunga au kupokea maudhui kutoka katika redio au televisheni za nje bali kinachotakiwa ni kufuata utaratibu ambao serikali imeweka ..read more
Visit website
Bernard Morrison Aibuka kidedea Young African Chali
Kaskazinimix
by Amedeus Somi
3y ago
Kaskazini Mix Bernard Morrison Aibuka kidedea Young African Chali Advertisements Loading... Dar es Salaam, Lile sakata la Bernard Morrison na klabu ya Young African limekwisha kwa mchezaji huyo kushinda kesi hiyo. Morrison ameshinda kesi hiyo licha ya kupelekwa kwenye kamati ya maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Mwenyekiti wa Kmatai ya Sheria na Hadhi za wachezaji ya TFF Elias Mwanjala jioni hii Agosti 12,2020 amesema mkataba wa Morrison na Yanga umeonekana una mapungufu mengi. Amesema wamempa Morrison nafasi ya kuchagua timu anayohitaji kuchezea hata kama ni kurudi Yanga. Ingawa ..read more
Visit website
Moni Centrozone Watoto Wa Mtaani (Official Music Video)
Kaskazinimix
by Amedeus Somi
3y ago
Kaskazini Mix Moni Centrozone Watoto Wa Mtaani (Official Music Video) Advertisements Loading... Moni Centrozone Moni ni Rapa kutoka Majengo Sokoni jijini Dodoma anayekimbiza kunako gemu la Muziki wa Hip Hop Bongo. Centrozone ni jina tu lilikuja kutokana na yeye kuwakilisha vyema mkoa wa Dodoma katika muziki wa Bongo Hip Hop. Mara nyingi amekuwa akifananishwa na kulinganishwa na baadhi ya wasanii wa kuchana hapa Tanzania na yeye amekuwa akipinga kurap kama mtu fulani. Kwa kudhibitisha hilo yeye mwenyewe alishawahi kuongea katika vituo mbalimbali vya Runinga na Redio. “Ninapoandika mistari kw ..read more
Visit website
Ndagukunda – Otile Brown X Prezzo (Official Music Video)
Kaskazinimix
by Amedeus Somi
3y ago
Kaskazini Mix Ndagukunda – Otile Brown X Prezzo (Official Music Video) Advertisements Loading... Otile Brown  Otile Brown ni mwanamuziki, mwandishi wa nyimbo, mpiga gitaa na mcheza shoo kutoka nchini Kenya. Mwanamuziki huyo aligundua kuwa ana kipaji cha kuandika tangu akiwa na umri wa miaka 12. Alianza kuandika nyimbo tangua akiwa na umri wa miaka 12 pekee, ali[ofikisha umri wa miaka 13 alihamia jijini Nairobi ambapo alikutana na baadhi ya watu walio karibu na muziki.Wakati huo alikutana na bwana mmoja aitwaye Jalang’o Otile akampa CD yenye wimbo wake, Jalang’o aliipenda sana nyimbo yak ..read more
Visit website

Follow Kaskazinimix on FeedSpot

Continue with Google
Continue with Apple
OR