Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
860 FOLLOWERS
Mwananchi.co.tz Be the first to get information about Tanzania, Africa and the World about politics, business, society, sports, economics and many other.
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
5h ago
Wadau wa sekta za biashara na usafiri wa anga wamechambua hatua ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), kuongeza ndege nyingine wakisema italiwezesha kutoa huduma kwa ufanisi katika masoko ya ndani na nje ya nchi ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
5h ago
Siku tatu kabla ya Sikukuu ya Pasaka, maaskofu wa makanisa ya Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Angalikana Tanzania na lile la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) wameibua changamoto 12 zinazolitesa Taifa kwa sasa, huku suala la uchaguzi wa huru na haki likitawala ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
5h ago
Amesema wazazi na walezi hawana budi kuwa vinara wa maadili; tabia zao ziende kwa watoto pamoja na wafanyakazi wa shughuli za ndani ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
5h ago
Imeeleza kuwa, Drum Beats kushirikiana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ni dalili tamasha litakuwa katika viwango vya juu zaidi ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
5h ago
Nimeuliza meneja mkuu wa kampuni hii yuko wapi wameniambia amenitumia mwakilishi, yaani mimi waziri wa sekta niko hapa yeye yuko Mwanza amenitumia mwakilishi ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
5h ago
Dk Mpango amesema Serikali na viongozi wakuu wapo tayari kutoa ushirikiano kwa wawekezaji ili kufikia malengo ya uwekezaji Tanzania ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
5h ago
Dar es Salaam. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema wizara ipo katika mapitio ya Sera ya Afya ya mwaka 2007 katika kuboresha sekta ya afya. Amesema uboreshaji utaimarisha ubora wa huduma za afya, ugharamiaji huduma na udhibiti wa magonjwa yasiyoambukiza. Amesema watatoa elimu kwa wananchi kuhusu mtindo bora wa maisha. "Tunataka tukirudi kwenye maadhimisho ya utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan mtupime kwenye huduma za afya, kwani tunataka zifanyike kwenye ubora uliokusudiwa, maana tunaweza kuwa na miundombinu lakini utendaji kazi na lugha zetu hazifai," amesema. Akizungumza leo Jumatano ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
16h ago
Amedai alichukua hatua ya kuingia kwenye mfumo wa Mawakili wa Tanganyika kisha aliandika jina kamili na namba ya uwakili ambayo alitaja likatokea jina la Nyando Nashon na si Mukama ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
16h ago
“Tunashukuru vyombo vyote vya habari nchini katika kuadhimisha miaka mitatu ya Rais Samia, lakini katika kufanikiwa hili kuna uwajibikaji umetokea. Pia wamemtendea haki kwa kujadili kwa kina na wamehakikisha wananchi wanasema na Serikali yao,” amesema Nape ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
16h ago
Beirut. Washirika wa karibu wa kundi la wanamgambo wa Hamas, kundi la Hezbollah kutoka nchini Lebanon limerusha msururu wa makombora Kaskazini mwa Israel hii leo na kuua mtu mmoja. Hatua hiyo inakuja ikiwa inajibu mashambulizi yaliyotanguliwa na Israel ya kurusha makombora yaliyoua watu takribani saba Kusini mwa Lebanon.Vikosi vya uokoaji vya Israel katika mji wa mpakani wa Kiryat Shmona vimefanikiwa Kupata mwili wa kijana wa miaka 25 ambaye vimesema ameuawa katika tukio hilo. Hata hivyo Hezbollah imethibitisha kurusha makombora hayo ili kulipiza kisasi kwa kile ilichokiita mauaji yaliyofanywa ..read more