Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
860 FOLLOWERS
Mwananchi.co.tz Be the first to get information about Tanzania, Africa and the World about politics, business, society, sports, economics and many other.
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
2d ago
Baraka Shija anashtakiwa kwa kosa la kumuua kwa makusudi mkewe, Grace Daudi Juni 23, 2022 ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
2d ago
Imeelezwa kuwa Manispaa na halmashauri nchini zimezua tabia ya kujenga shule zenye mkondo wa Kiingereza kwa maana ya ‘English Medium ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
2d ago
Mwaipopo alikamatwa na maofisa wa polisi katika Kituo cha Basi cha Bomang’ombe, Wilaya ya Hai, Januari 25 2018 ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
2d ago
Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti -Bara, Tundu Lissu watashiriki maandamano hayo na ratiba imetolewa ikieleza namna watakavyoyaongoza ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
2d ago
Ni nadra kwa kiongozi mwenye mafanikio ya kielimu, kiuchumi na kisiasa kuelezea mapito yale, lakini sio kwa Naibu Waziri wa Madini, Dk Steven Kiruswa ambaye anasema bila hayati Edward Sokoine asingefika alipo ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
2d ago
Imedaiwa kuwa, gari lenye thamani ya Sh60 milioni ‘linaoza’ kwa sababu ya matairi ya Sh2.4 milioni au kipuri cha Sh500,000, linatelekezwa kwa miezi sita baadaye linauzwa Sh3 milioni ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
2d ago
Kwa mujibu wa Ofisa Takukuru mkoa wa Geita, Maganga Dominick, baadhi ya miradi iliyobainika kuwa na kasoro ni ya afya, ujenzi, elimu, maji, umeme na kilimo ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
2d ago
Mazishi yatafanyika majira ya saa 10 jioni kwenye makaburi ya Kola Morogoro ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
2d ago
Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyo ..read more
Mwananchi | Tanzania's leading newspaper
2d ago
Viongozi wa dini wa ndani na nje ya nchi kutoka mataifa sita duniani sambamba na umoja wa jumuiya ya maridhiano, wanatarajiwa kuhudhuria kuapishwa kwa Mchungaji Pangani ..read more