Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO)- Tanzania: THIS IS OUR 2018 PROJECT ACTIVITIES
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO) Blog
by
3y ago
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO)- Tanzania: THIS IS OUR 2018 PROJECT ACTIVITIES: greeting, Happy New Year 2019, we have been working with community a whole year of 2018 on various programs including 1.HIV AWARENESS AT BWA ..read more
Visit website
Women’s Day Messages !!
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO) Blog
by
3y ago
Women’s Day Messages Women’s Day is the day to pay tribute to every Woman and to salute her immense contribution in shaping the society. Thus here help people in congratulating or to greeting every Women of life below are some unique and heart touching Women’s Day Messages like- Without you the world is incomplete, Without you the heart feels empty, Let the world blossom with your smile The way you have always done! Happy women’s Day The flame your love can only light up my heart! I can shine only with the warmth of your smile, I make a promise to you, As long as I will live, I will not leave ..read more
Visit website
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization -The organization teamwork after a meeting on 15/07/2017 at the head office Morogoro-Tanzania
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO) Blog
by
3y ago
Reviewing and approve Strategic Plan of SMGEO Financial Policy Recruitment Policy Projects of this phase Gender Equality for Development smgeo2015@gmail.com +255753599827 ..read more
Visit website
Tumuunge mkono mh. Rais kupinga mimba mashuleni !!!
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO) Blog
by
3y ago
*Na Mwalimu Upendo Chikoti* Tangu Mhe. *Rais JOHN POMBE MAGUFULI* alipotoa kauli yake ya kutopokelewa kwa wanafunzi wanaotoka kujifungua katika shule za umma, kauli hiyo imeibua mijadala mbalimbali katika jamii, huku walio wengi hususani wanaharakati wakionekana kumpinga kwa madai kuwa hatua hiyo ya Mhe. Rais ni ukiukaji wa haki za elimu kwa watoto wa kike. Ukweli ni kwamba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inajali, inalinda na kutetea haki na ustawi wa watoto wa jinsia zote kwa kusimamia sheria, sera na mikataba ya Kimataifa inayolinda haki na ustawi wa mtoto. Kwa kulitambua hilo ..read more
Visit website
MADHARA YA MIMBA ZA UTOTONI, UZAZI CHINI YA UMRI WA MIAKA 18 WANAWAKE. (MWANAMKE/MSICHANA)
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO) Blog
by
3y ago
Mwanamke au msichana kupata ndoa utotoni kabla ya umri wake miaka 18 na kupata mimba au kuingiliwa kimaumbile. • Hupatwa na madhara yafuatayo: A. Msichana kuingiliwa na mwanaume kabla ya umri ama wanaumri sawa au mwanaume anayemzidi umri. ( i) Hupatwa na magonjwa ya kupasuka mirija ya uzazi haswa kwa kuwa mwanaume ana nguvu na spems zinaweza kupasua mirija midogo ya kukomaza njia ya uzazi. Hivyo baada ya muda wa kubalehe mirija za uzazi ziko wazi - Hivyo kupata mimba inatunga nje ya mfuko wa uzazi. Hivyo basi mimba nyingi za namna hiyo huzaa kwa njia ya kupasuliwa (operation service) kwani -Mf ..read more
Visit website
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO)- Tanzania: Early Marriage !!
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO) Blog
by
3y ago
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO)- Tanzania: Early Marriage !!: Early marriage is a global issue. It is quite common in the African and Asian countries. However, the consequence of early marriage is ser ..read more
Visit website
Early Marriage !!
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO) Blog
by
3y ago
Early marriage is a global issue. It is quite common in the African and Asian countries. However, the consequence of early marriage is serious, which can violate the rights of adolescence, both in this generation and the next. It affects the education and well-being of millions of children and has a knock-on effect for the poverty and development of communities. Simply put, early marriage can violate children basic rights to a childhood, to an education, to good health and to make decisions about their own lives. Early Marriage Leads To Tragedy For a Young Woman In Africa The physical, emotio ..read more
Visit website
WOMEN WOMEN WOMEN !!!
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO) Blog
by
3y ago
Be happy with yourself and your life, and make it a great one, even if you do that alone. You yourself make it a happy, fulfilled and successful life, with or without a partner.. Direction for Happy Independence: Ladies, you are the Queen of Your Own Life, now and forevermore. Rule your life wisely and well. Be happy now and make the happiest life now, starting today. Do not wait to be happy. Do not wait for someone to make you happy. Do not wait to get this or that, or be this or that, or have this or that, or wait for any person, ever. Don't wait for anyone to give you, get you or bring you ..read more
Visit website
Wanawake ni nguzo ya jamii na uchumi wa nchi, asema Ruto
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO) Blog
by
3y ago
Naibu Rais William Ruto katika kongamano. Ruto anataka wanawake kupewa nafasi sawa katika jamii ili kuiendeleza. [Nation/www.nation.co.ke] Naibu Rais William Ruto amebaini kuwa Afrika haiwezi kuendelea kwa kumdhalilisha mwanamke, ila tu kwa kumpa nafasi murwa ya kujiendeleza katika sekta zote za maisha. Ruto, katika ukurasa wake wa Facebook amefafanua kuwa dunia inadororesha sekta mbali mbali kwa kutomhusisha mwanamke katika maswala ya kiuchumi. "Kongamano hili litumike katika kuimarisha nafasi ya mwanamke katika masuala ya uchumi na biashara kote duniani ili kujiendeleza kimaisha," alisema R ..read more
Visit website
Official Eric Samuel -Asante Mungu
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO) Blog
by
3y ago
..read more
Visit website

Follow Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO) Blog on FeedSpot

Continue with Google
Continue with Apple
OR